Rais Magufuli Atangaza Baraza la Mawaziri…!
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli ametangaza baraza lake la mawaziri litakalomsaidia kutekeleza majukumu yake. Baraza hilo lina Wizara na mawaziri 18 na manaibu waziri 15.
Hata hivyo mawaziri wanne hakuwataja na kudai atawaongeza hapo baadaye.
Amesema hakuta kuwa na semina elekezi kwa mawaziri kabla ya kuanza kazi
ikiwa na staili yake ya kubana matumizi. Fedha zilizotengwa kwa ajili
ya semina hiyo zitatumika katika matumizi mengine kwenye elimu. Zaidi
soma taarifa yake hapo juu akizungumza na waandishi wa habari.
Post a Comment