Ads (728x90)

Tabs

Page

Kama hukuwahi kubahatika kutembelea Singapore basi Marina Bay ni moja kati ya sehemu ambazo unapaswa kutembelea kama utafanikiwa kufika SingaporeMarina Bay ni uwanja wa mpira wa miguu ambao unaelea kwenye maji, yaani sehemu ya kuchezea inaelea ila majukwaa yapo nchi kavu.
JfmExkO
Marina Bay umejengwa kwa vyuma lakini unaelea na unatajwa kuwa na uzito wa tani  1,070 ambazo ni sawa na uzito wa watu 9000, upande wa jukwaa la mashabiki lina uwezo wa kubeba watu 30,000. Uwanja huo toka mwaka 2007 umekuwa ukitumika kwa shughuli mbalimbali kama soka, michezo mingine, matamasha, maonyesho ya sanaa pamoja na sherehe za kitaifa zinazohusisha gwaride la askari jeshi na polisi.
4312050661_00286c3dd0
Singapore's Marina Bay Floating Stadium
action5
Singapore-pitch-ge_3314044b

Post a Comment