Nimeamua kukusogezea hizi dakika zaidi 30 mtu wangu kwa ajili ya kutazama wakati video ya Diamond Platnumz aliyomshirikisha Mr Flavour wa Nigeria ikitengenezwa hii ni kama hukufanikiwa kutazama,video ambayo imepitia kwenye mikono ya Muongozaji mkubwa Afrika anaitwa God Father.
Kwa sasa video hii imetazamwa zaidi ya mara Milion 3 na Laki 6 na imependezwa na watu zaidi ya elfu 21 na watu zaidi ya elfu 2 hawajapendezwa nayo imewekwa May 29 2015,wimbo huu umepata nafasi ya kuchezwa na vituo vingi na vikubwa vya nje mpaka sasa.
Leo nakusogezea hii ya utengenezwaji wake ambayo kwa sasa imetazwa zaidi ya mara Laki 4 mpaka sasa na video hii imewekwa July 17,mtu wako wa nguvu pia kaonekana kwenye video hii.
Bonyeza play kutazama.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment