Jaguar amekuwa miongoni mwa wasanii wenye
pesa nyingi zaidi Afrika mashariki na hii ni kutokana na muziki na
biashara tofauti anazofanya na kwenye show yake huko Mombasa aliamua
kurudisha fadhila kwa mashabiki wa kuwarushia pesa.
Jaguar aliwarushia mashabiki pesa akiwa kwenye tour ya Mseto na kupitia Instagram alielezea sababu ya kufanya hivyo.“Money rain………always share with my fans“.
Post a Comment