Tumeona list ya mastaa wengi wa Muziki na Movie Bongo kwenye Majukwaa ya Kampeni wakiongozana na Wagombea wa nafasi mbalimbali ikiwemo nafasi ya Urais Tanzania kwenye Uchaguzi Mkuu utakaofanyika October 25 2015… lakini wapo ambao hawajataka kujihusisha na Siasa hata kidogo !!
Mmoja ya Mastaa waliothibitisha kwamba hawako tayari kujihusisha na masuala ya Wanasiasa kwa sasa ni Mkongwe wa Bongo Fleva, Dully Sykes.
Post a Comment