Drake na Future wa weka historia mpya.
Album ya pamoja ya wasanii Drake na Future imefanikiwa kushika namba moja kwenye chati za bilboard hot 200 kwenye wiki yake ya pili sokoni.
Album hii inaitwa “What A Time To Be Alive” na ilitoka Sept 20. Hadi kufiki Sept 24 ilikuwa imeuza kopi 375,000 huku Nielsen Sound Scan wakisema kopi 334,000 ni nakala halisi za album.
Hiii ni hatua kubwa kwa Future ambaye hakutegemewa kuja kuwa msanii wa biashara kama wenzake Drake na Big Sean.
Post a Comment