Share
Rapa The Game amesema anatumia mitandao ya kijamii kujifaidisha zaidi
na kujitangaza vizuri, The Game akiongelea promo ya ujio wa album yake
mpya ‘The Documentary 2’ amesema mitandao wa kijamii imefanya mashabiki
wapunguza kuwaabudu wasanii na wanamichezo
“
Siku hizi shabiki akiwa na followers
laki moja kama wewe anajiona yupo kwenye level moja na wewe, mimi
siruhusu hio, kama wewe ni shabiki baki kuwa shabiki, “.
Album the The Game Documentary 2 inatoka October 9.
Post a Comment