Ads (728x90)

Tabs

Page

Stella-Mwangi-e1412158239450
Stella Mwangi ndio jina ambalo linatupa burudani ya kitu kizuri kutoka +254 Kenya kwa siku ya leo, sio mara zote tunahitaji kusikiliza muziki unaohusu mapenzi pekeyake, ziko ngoma kama ‘Mwana‘ ya Ali Kiba, ‘Ojuelegba‘ ya Wizkid na nyingine kibao ambazo zimefanya vizuri na zinaendelea kufanya vizuri lakini hazina ujumbe wa mapenzi !!

Kwenye list ya mastaa wa kike wanaofanya muziki Kenya, hata ukitaja watatu ni rahisi sana jina la Stella Mwangi pia kuwepo… anatukaribisha tena tupate hii nyingine yenye ujumbe poa kabisa kutoka kwake, wimbo unaitwa ‘Chukua Hatua‘.

Post a Comment