Mchezo wa soka ni mchezo ambao hupendwa
na watu wengi ila kinachoshangaza wachezaji wa timu zote mbili ucheza
kwa bidii kiasi kwamba inaweza tokea chuki endapo mmoja kati yao atakuwa
anazidiwa mbinu na mchezaji wa timu pinzani. Kumekuwa kukifanyika
matukio mengi katika soka ila kutokana na muamuzi kutokuona baadhi ya
matukio hayo, Shirikisho la soka la nchi husika huchukua hatua kwa
vitendo hivyo visivyo vya kiungwana kupitia kanda za video.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment