Ads (728x90)

Tabs

Page

Mchezo wa soka ni miongoni mwa michezo inayoongoza kwa kupendwa duniani kote, vituko na burudani yake havijaishia uwanjani kwa wachezaji kupiga chenga na kufunga magoli na mashabiki kushangilia, kwenye soka tumewahi kushuhudia style tofauti tofauti za ushangiliaji wa magoli kwa wachezaji wa soka, nyingine zikiwa zinamaana au kuashiria ujumbe fulani kwa mtu fulani au jamii.
hqdefault
Mtu wangu wa nguvu style za ushangiliaji wa magoli kwa wachezaji ni moja kati ya vitu vinavyotoa burudani kwa watazamaji wa mchezo wa soka, November 25 naomba nikusogezee video ya style 20 kali na kuchekesha katika mchezo wa soka Ronaldinho, Rooney, Ronaldo na Mario Balotelli wapo pia katika hii list, style zao zilikuwa headlines katika soka.
Video ya style 20 kali za ushangiliaji katika soka

Post a Comment