Wiz Khalifa ameweka pembeni album yake mpya Rolling Papers 2
nakutanga rasmi kuwa anatoa mixtape mpya kwanza na album ndio itafata.
Wiz ametangaza kuwa mixtape yake ya Cabin Fever 3 inatoka hivi karibuni na nimuendelezo wa Cabin Fever 2 ya mwaka 2012 aliyofanya na wasanii Juicy J, Problem, French Montana, na Chevy Woods. Cabin Fever yakwanza ilitoka 2011.
Album ya Rolling Papers 2: The Weed Album inatoka mwakani.

Post a Comment