Kupitia mahojiano aliyofanyiwa na Planet Bongo ya EARadio, Joh Makini amesema ” video
ya Don’t Bother Ft rapa AKA aliyofanya na muongozaji Justin Campos wa
kampuni ya Gorrilla Films ya Afrika Kusini imegharimu jumla ya dola
15000 ambazo ni sawa ya milioni 32 za Kibongo “.
Joh Makini aliendelea kusema kuwa wimbo wa Don’t Bother umevunja
rekodi ya nyimbo zake zote kwa kutrend Tanzania na nje zaidi na kwa muda
mrefu.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment