Bridewell lilikuwa Gereza ndani ya Liverpool Uingereza ambalo
lilijengwa tangu miaka ya 1550 hivi, liliwahi kubadilishwa matumizi
yake kwa mara kadhaa lakini hii ya sasa hivi ni story tofauti yani.
Pata picha mahali kama Gereza la Segerea, Keko au Ukonga
ambamo leo hii wanahifadhiwa watu ambao wanatumikia vifungo,
utajisikiaje siku moja kuingia kulala ndani ya Gereza mojawapo ikitokea
miaka hata kumi baadae Gereza mojawapo linageuzwa Hoteli ya Kifahari
kabisa !!
Bridewell Prison
ilikuwa zamani mtu wangu, watu wameamua pasibaki hivihivi, imetengezwa
bonge la Hoteli na kuna vitu vichache ukiviona ndio utashtuka kwamba
hapo palikuwa Gereza…
Baada ya kuwa Hotel kwa sasa pataitwa Stay Central The Bridewell, katikati ya Liverpool Uingereza..Hizi ni pichaz nyingine mtu wangu.
Unaweza ukaona pia kinachosimuliwa kwenye hii Video kuhusu Gereza lililogeuzwa Hoteli Uingereza.
Post a Comment