Rapa 50 Cent ameamrishwa na mahakama kulipa dola milioni 5 kama faini
ya kosa la kutoa na kusambaza mkanda wa ngono wa mwanamke aliyezaa na
rapa Rick Ross
Mahakama imemuamrisha 50 Cent amlipe Lastonia Leviston dola milioni
2.5 kama faini ya kutumia picha yake kwenye mkanda huo na dola milioni
2.5 kama faini ya msongo wa mawazo alioupata mama huyo baada ya mkanda
huo kuonekana dunia nzima.
50 Cent hajawahi kuwepo mahakamani wakati wa kesi hii ila bado
mahakama inaendelea kuangali faini nyingine anayotakiwa kulipa 50 Cent
kwa kosa alilofanya
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment