Hawa ndio watatu kwenye Urais wa Tanzania waliopitishwa na CCM
Updates kutoka Dodoma July 11 2015 ziko kila wakati, na zinazonifikia tu na mimi nazisogeza kwako ili usipitwe, tuliifahamu TOP 5 ya Wagombea Urais wa CCM, tatu bora je?
Mitandaoni hii ina uzito tayari, majina matatu yaliyopitishwa na CCM kwenye wagombea Urais majina ni haya >>> John Pombe Magufuli, Asha-Rose Migiro na Amina Salum Ali.
Post a Comment