Klabu ya Manchester City imemsajili kiungo wa Aston VillaFabian Delph kwa mkataba wa miaka mitano… Delphamejiunga na Manchester City ikiwa ni siku kadhaa zimepita toka atangaze kuwa hana mpango wa kuihama klabu hiyo baada ya kuhama kwa mshambuliaji Christian Benteke na kujiunga na Liverpool.
Post a Comment