Staa wa muziki nchini Marekani Jordin Sparks ametoa video yake mpya
ya “Right Here Right Now,” ambayo ndio jina la album yake mpya.
Right Here Right Now ni muendelezo wa album yake ya mwaka 2014
#ByeFelicia,na inatoka Aug. 21 huku wakiwa wameshirikishwa 2 Chainz,
B.o.B, Shaggy na Elijah Blake.
Post a Comment