January
Makamba ni miongoni mwa waliojitokeza kuomba ridhaa ya chama cha
mapinduzi CCM kuteuliwa kukiwakilisha chama kwenye kugombea Urais wa
Tanzania 2015 ambapo alitajwa kwenye mchujo wa kwanza wa tano bora
pamoja na
Bernard Membe, Amina Salum, Asharose Migiro na John Magufuli.
Ilipofika time ya tatu bora alipata taarifa kwamba hajapita kwenye
mchujo wa kwanza ambapo sekunde chache baadae aliandika yafuatayo
>>> ‘Matokeo rasmi ya wana-CCM
watatu watakaondelea na mchakato yatatolewa punde. Hatumo. Lakini nina
fahari kubwa na kampeni yetu na timu yetu’
‘Hatujapoteza uchaguzi kwasababu mimi
na vijana niliokuwa tumejifunza mengi na tumejenga undugu. Tumepambana
na matakwa ya Mungu yametimia, nawashukuru wote mliotuunga mkono.
Mlitupa nguvu. Nawashukuru pia mliotupinga na kutukosoa. Mlitusaidia
kujitazama na kujirekebisha‘ – January Makamba
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment