Tyga na Kylie Jenner wamekuwa wakiweka headlines nyingi sana toka siku waliopigwa picha wako pamoja… maneno mengi yalisemwa juu ya Tyga kutembea na msichana huyo lakini hayo yote haijawazuia wawili hao kuwa kwenye mahusiano.
Baada ya kuonekana pamoja kwenye tuzo za MTV VMA’s 2015 siku ya jumapili, wiki hii Tyga kaamua kuachia video yake mpya ambayo ndani mpenzi wake Kylie Jenner ndio video queen… wimbo unaitwa ‘Stimulated’ na kama bado haujakufikia karibu uitazame hapa.
Post a Comment