Sauti Sol wanaisogeza kwako video ya ‘Isabella’! itizame hapa......
Official video ya Isabella imetoka tayari mtu wangu, na huu ni wimbo wao wa 6 kutoka kwenye Album yao mpya iitwayo Live and Die in Afrika, kizuri zaidi kuhusu video hii ni kwamba, video nzima imetengenezwa Las Vegas, Marekani chini ya msaada wa Director Stevie Rodriguez.
Post a Comment