Msanii Shetta amesema wimbo wa ‘SINA IMANI’ aliomshirikisha Rich
Mavoko aliutunga kwasababu alitaka kutumia mapenzi kufikisha ujumbe kwa
watu, kwasababu hakuwa na wimbo wenye ujumbe tofauti na mapenzi.
Mashairi ya wimbo wa Sina Imani ulikuwa kufundisha wapenzi kuto
saliti mahusiano yao “Wivu mimi sina ila roho inauma, ….Usilete ukimwi
Nyumbani “.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment