Hivi ndivyo Madee alivyosema kuhusu issue ya kumrudisha shule rapa Dogo Janja.
Madee kahojiwa na #PlanetBongo nakusema ” Sitaki
kusema eti nimeamua kukauka moja kwa moja Dogo asirudi shule, kuna vitu
viko kwenye plan, ila kikubwa kwa sasa ni kutoa wimbo wake na mwakani
atafanya anachokitaka, hata ukimpigia atasema anachotaka “.
Post a Comment