Lionel Messi baada ya kufikisha mechi 100 akiwa na club yake ya Barcelona imekua ni sehemu ya furaha kwake binafsi na mashabiki zake. Licha ya kutoka draw ya 1-1, Messi amefikisha rekodi hiyo akiwa ni mchezaji mwenye umri mdogo. Messi amewashukuru mashabiki wake kwa kusema,“Nina furaha sana kucheza michezo 100 nikiwa na club bora duniani.”
“Kuna nyakati nyingi za kukumbuka na kuna maajabu mengi yatakuja”. Messi anategemea kushinda tena ubingwa wa Ulaya mara ya tano baada ya kushinda miaka ya 2006, 2009, 2011 na 2015.
Post a Comment