Alama tano zilizopendekezwa kutumika kama DISLIKE Button ya Facebook.
Mwanzilishi wa mtandao wa Facebook Mark Zuckerberg ameweka wazi kuwa wanafanyia kazi ombi la kuweka option ya ‘DISLIKE’ ambayo iliombwa na watumiaji wa mtandao huu kwa muda mrefu.
Mark alisema ” Tumesikiliza na tunafanyia kazi, tutawapa kitu kitakachokithi mahitaji ya jamii kubwa. Botton ya Dislike imeombwa kwa miaka mingi na leo ni siku maalum tunasema tumeanza kuifanyia majaribio “.
Mark anasema anaimani kuwa watu hawata itumia Option hii vibaya.
“Sio kila post ni ya kulike kama Post za misiba , ndio maana ni vizuri kuwa watu option hio “.
Post a Comment