Album mpya na yapili wa Wande Coal kutoka Nigeria imefanikiwa kuwa
mwongoni mwa album zilizonunuliwa zaidi kwenye mtandao wa Itunes wiki
hii.
Mpaka sasa album hii imeshika namba moja kwenye album
zilizonunuliwa zaidi ndani ya masaa 48 yaliyopita kwenye iTunes world
chart.
Pia nyimbo saba kutoka kwenye album hii zipo kwenye Top 10 singles charts ya iTunes na zingine 8 zinaelekea kwenye top 20.
Post a Comment