Ads (728x90)

Tabs

Page

Prof Jay

Prof. Jay, mshindi wa kiti cha Ubunge Jimbo la Mikumi.
Prof. Jay amesema amefurahi kwa ushindi huo, anachoangalia zaidi kwa sasa ni kujitahidi kuleta maendeleo Jimbo lake kwa kushirikiana na kila mtu kwa sababu maendeleo yanatakiwa na kila mtu bila kujali itikadi ya chama.
Nikki wa Pili kaingia kwenye story za +255 leo ambapo amesema ilikuwa aachie kazi nyingine inayokwenda kwa jina la ‘Baba Swalehe‘ lakini mipango imesogezwa mbele ili kupisha masuala ya Uchaguzi mkuu uliofanyika Tanzania.
nikki1
Member wa Kundi la Weusi, Nikki wa Pili.
Nikki amesema wanategemea promo kubwa toka kwa vyombo vya habari kwa ajili ya kutangaza kazi zao, lakini vyombo vingi vilibebwa na story za Siasa kwa kipindi hiki ndio maana kazi hiyo ikasogezwa.
Diamond
Diamond Platnumz
Diamond Platnumz ameshinda Tuzo ya Best Worldwide Act siku chache zilizopita nchini Italy, rapper Joh Makini kaupokea kwa furaha ushindi huo kwa sababu ushindi wake ni heshima kwa Africa pia…
Joh Makini
Joh Makini
kingine ni kwamba Joh amesema amefurahi kwa sababu Diamond amekuwa akijituma sana kitu kinachosaidia hata wasanii wengine kufunguliwa milango ya mafanikio kupitia juhudi zake.

Post a Comment