Kuna pichaz ambazo zimesambaa mitandaoni zinazowaonesha mrembo Wema Sepetu na Luis Munana ambaye ni mshiriki wa Big Brother wanaonekana kama watu ambao wana uhusiano wa kimapenzi.
Soudy Brown anasema amewatafuta Wema pamoja na team yake lakini hawajapatikana… baadae akaamua kumcheki Idris ambae ni mshkaji wa Luis, amesema yeye hajui chochote ila Luis amekuja siku chache zilizopita na amefikia kwake.
Post a Comment