Ads (728x90)

Tabs

Page

RickRoss
Rick Ross anajitayarisha kutoa album yake mpya ya Black Market na hivi karibuni amehojiwa kuhusu beef ya Meek Mil na Drake pamoja na collabo yake na cCHris Brown.
Rick Ross amesema “Fanya unachotaka kufanya, jieleze mwenyewe kupitia muziki wako na jinsi unavyotaka kuufanya na muda utakao jiskia kufanya ” .
Pia Rozay amelezea alichopitia alivyokuwa na beef na 50 Cent na kusema ” sababu kubwa ilikuwa kuonyesha dunia mimi siogopi kitu wala mtu “

Post a Comment