Rnb Super Star Chris Brown ametangaza kutoa album yake ya saba mwaka
huu. Akiwa kwenye interview na Bilboard Brezzy amesema wimbo wa kwanza
kutoka ndio huo umepewa jina “Liquor,” .
Hii itakuwa album ya kwanza toka mwaka 2014 alipotoa X, iliyoshika namba 2 kwenye chati wiki ya kwanza na kutoa hits kama Loyal.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment