Yule msanii maarufu kutoka nchini Nigeria Davido amezindua rasmi
mavazi yake. Mavazi hayo yana nembo ya neno Obo, Mavazi hayo ni pamoja
na Kofia na tshirt, O.B.O ndio nembo itakayokuwa inamtambulisha Davido
katika biashara ya Pamba zake, hapa chini nimekuwekea picha za mavazi
hayo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment