Ads (728x90)

Tabs

Page



Good News ikufikie kwamba kama vile ambavyo imekuwa kawaida sasahivi kukutana na Watanzania wakitoboa kwenye anga kubwa kimataifa kwa kazi nzuri za muziki, basi na filamu nazo haziko mbali sana !!
Kingine kilichonifikia kizuri kwenye Bongo Movie ni kwamba Mtanzania Omary Clayton ameingia kwenye list ya wasanii wa kiume wanaowania Tuzo za California Viewers choice Award zitakazotolewa Marekani.
Clayton kapata nafasi hiyo kubwa kupitia filamu ya Dogo Masai.
Tuzo hizo zinatatolewa mwezi December 2015 nchini Marekani ambapo support kubwa inayohitajika ni upigaji kura ili kufanikisha mtu wetu kuitangaza Tanzania kwa kurudi na Tuzo nyumbani.
OMMY
Bonyeza hii link hapa chini na itakupeleka moja kwa moja kumpigia kura mshiriki wetu Omary Clayton >>> covca2015

Post a Comment