Ads (728x90)

Tabs

Page

AT...
Msanii AT ameweka wazi kuwa wasanii wa Tanzania wangeweza kufanya vizuri zaidi nje ya Tanzania kama wangeimba na kufanya muziki wa bongo fleva kwa midundo ya Tanzania.
ATa anasema “Nilishawahi kusema wasanii wa Tanzania wakifanya muziki wa Tanzania wenyewe ule watafika mbali,Diamond amefanya hivyo na imemsaidia, ila wasanii wengine na viburi yao wanashindwa kufanya hivyo, unakuta msanii anachukua biti na melody ya nchi nyingine alafu anaimba kiswali, hio sio bongo fleva, hata Chris Brown anaweza kuchukua biti ya bongo fleva akaimba haimaanishi kaimba bongo fleva ” .

Post a Comment