Kundi la Mafikizolo kutoka Africa Kusini limethibitisha kuwa lina
mpango wakufanya video ya collabo yao na Diamond Platnumz December 10
2015.
Uthibitisho huu umefanywa na msanii wa Mafikizolo ‘Nhlanhla Nciza’
baada ya kuulizwa na shabiki mwenye hasira kuhusu Collabo yao na Daimond
Platnumz.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment