Dullysykes ametumia sekunde 30 kuzungumza na Clouds Fm kwenye XXL kuwa miongoni mwa kazi ambazo ilikua afanye ni kwenda Jeshini>>’Mimi nilikuwa nataka kwenda Jeshi,ndiyo mwaka huo niliokuwa natoka sababu za kutaka kwenda Jeshi ni utafutaji wa hela kuna kipindi nilikua nauza viatu vya kike kwa kutembeza lakini maisha Mungu anapoamua kukupa kitu anakupa,Mi namshukuru Mwenyezi Mungu amenipa kipaji cha muziki na kipaji hiki kinanipatia mahitaji yangu sina kazi nyingine zaidi ya muziki‘.
Kumbe Dullysykes ilikua awe Mwanajeshi?ilikuaje hakwenda Jeshini tena?Majibu haya hapa.

Post a Comment