Zikiwa zimebaki siku 11 kabla
yakufanyika kwa Uchaguzi Mdogo wa ngazi ya ubunge katika jimbo la Arusha
kampeni bado zinaendelea huku Godbless Lema akiendelea kutetea kiti chake
Mikutano ya hadhara inaendelea huku Lema akinadi
Sera zake nakuomba kura kwa wananchi wa Arusha, hapa nimekuwekea picha
za mkutano huo ambao umefanyika katika eneo la stendi kuu ya mabasi
jijini Arusha.
Ratiba ya Tume ya NEC imeonesha Uchaguzi wa Mbunge Jimbo la Arusha Mjini utafanyika
December 13 2015, sababu za kusogezwa mbele kwa chaguzi hizo ni
kutokana na kifo cha Mgombea wa Chama cha ACT-Wazalendo, Mzee Estomih Jonas Mallah kufariki baada ya kuugua kwa muda mfupi.
Post a Comment