Video mpya ya Chris Brown ‘Gravity (Stuck In The Middle)’ itazame hapa. Christian Ngoti 8:02 AM A+ A- Print Email Anaelekea kutoa album yake mpya aliyoipa jina Royality na hii ni miongoni mwa single kali kwenye iliyotoka ili kutangaza album hii ila haipo kwenye album mpya. Isikilize hapa ‘Gravity’.
Post a Comment