Hii ilikuwa kama zali tu kwa staa wa R&B Marekani, Usher Raymond ambaye alialikwa ndani ya Ikulu ya Marekani kwa ajili ya kutoa burudani, birthday yake ikamkuta akiwa humohumo ndani ya Ikulu.
Usher alikuwa ameongozana pia na mastaa wengine kutoa burudani hiyo ikiwemo akina Queen Latifah pamoja na Smokey Robinson… lakini Rais Barack Obama na mkewe, Michelle Obama walimpa surprise kwa kumwimbia halafu ikaletwa cake ya birthday ikiwa na mshumaa mmoja juu unaowaka.
Hii hapa video ya tukio lote surprise ya White House kwa Usher Raymond siku ya Birthday yake akitimiza miaka 37.
Post a Comment