Mwimbaji wa Nigeria Davido amekanusha kuwa thamani yake ni dola milioni 14 ambazo ni kama Naira bilioni 2.7.
Davido amesema maneno haya kwenye interview na kipindi cha ‘Real
Talk’ alivyoulizwa na Stephanie Coker kama anaweza kutaja thamani yake.
Davido pia amekiri kuwa hakuruka kutoka kwenye ndege akiwa anafanya
video ya ‘The Sound’ aliyofanya na Uhuru. Kuhusu kitu cha gharama
alichonunua hivi karibuni, Davido amesema ni saa ya Rolex aliyomnunulia
producer Shizzi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment