Shilole aka Shishi Baby yuko tena kwenye U Heard… Soudy Brown amemcheki na story ni kuhusu tattoo, ana mpango wa kuongeza nyingine?
Nuh ana tattoo ya Shilole na Shishi nae ana tattoo ya Nuh… Soudy Brown akawa na swali kwa Shilole kama ana mpango wa kuongeza tattoo nyingine !! Shilole amesema hana mpango huo kwa sasa, ila tattoo zao zina maana kwenye mapenzi yao.
Post a Comment