Rapa Soulja ameweka wazi kuwa kama Kanye West atapata nafasi ya kugombani urais nchini Marekani basi kura yake atampa rapa huyu.
Kanye anatarajia kugombani urais mwaka 2020 na Soulja boy kasema atamuunga mkono.
Sababu ya kumpa kura yake Kanye ni kutokana na kwamba
Soulja boy alitetewa na Kanye West dhidi ya rap legend Ice T wakati
anaanza muziki akiwa na miaka 19 pale ambapo Ice T alimponda sana Soulja
boy na style yake ya kurap.
Post a Comment