Kama ulidhani Chris Brown, lil Wayne na Gucci Mane ndio wasanii uwezo
wa kuchora tattoo kubwa kichwani basi YG Atakushangaza kwa alichofanya
weekend hii.
Rapa YG Amechora tattoo ya Bikira Maria kichwani kwake ikiwa na
mstari kutoka kwenye iblia uliosema “No weapon formed against me shall
prosper.”
YG yupo studio sasa akirekodi album mpya ya Still Krazy,
kwa sasa amefungua lebel yake iliyopewa jina 4HUNNID label,na msanii wa
kwanza kupewa dili kwenye lebel hii ni msanii wa rnb Tanea na hivi
karibuni msanii huyu ametoa wimbo “Trippin.”
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment