Tunduma hali tete chadema vs ccm....watu wawili wamefariki mmoja toka
ccm mwingine chadema baada ya kutokea vurugu.Wanachama wa ccm waliweka
mawe barabarani ili chadema wasipite ndipo vijana wa chadema waliposhuka
kutoa mawe ndipo akatokea kijana wa ccm nakumchoma kisu kijana huyo
kufarik ndipo vijana wa chadema nao walipojibu mapigo kwakumuua kijana
huyo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment