Msanii wa Baseline Music ‘Skales’ ametoa video yake iliyosubiriwa
kwa muda sasa ‘LO LE’. Wimbo huu upo kwenye album yake ya MAN OF THE
YEAR na kwenye video hii anaonekana msanii wa dancehall kutoka Nigeria
Ketchup na GGB Dance Crew.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment