Kamati
ya uendeshaji ya ligi kuu Tanzania Bara imemfungia Nahodha wa Mbeya
City Juma Nyosso kutocheza soka kwa miaka miwili na faini ya milioni 2
kwa kosa la kumfanyia kitendo cha udhalilishaji Nahodha wa Azam John
Bocco katika mechi ya juzi kati ya Azam fc na Mbeya City iliyopigwa
katika uwanja wa Azam Complex.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment