Unashangaa?
Yes, unaweza kumfanya mwanao awe smart kwa chakula tu! Ndio coz kuna
vyakula vinarutubisha ubongo kuliko vingine, sasa ukivikazania hivyo
utakuta mwanao anakua smart kuliko wengine wasiokula vyakula hivyo.
Huamini? Basi bonyeza hapo palipoandikwa bofya hapa utiririke namie.
Siri iko kwenye kifungua kinywa!
Siri iko kwenye kifungua kinywa!
Kibongobongo
tunaita chai, ila kwa Kiswahili sanifu ni kifungua kinywa. Hiki
wataalam wanasema kazi yake si kufungua kinywa tu, hata ubongo
unafunguka. Tafiti zinaonyesha kuwa watoto wanaopata kifungua kinywa
wanafanya vizuri kwenye test za kuangalia attention na kumbukumbu,
kuliko wale wasiopata kifungua kinywa. Na wote tunajua, attention
darasani ndio inamfanya mtoto aelewe, afu kumbukumbu ndio inamfanya
afanye vizuri kwenye mtihani au hata application ya vitu alivyojifunza
baadae. So bila hivyo vitu viwili mtoto kufanya vizuri darasani si
rahisi.
Kwa nini chai/kifungua kinywa?
Kwa sababu chakula ndio mafuta ya miili yetu, sasa mtoto anamka mafuta yamepungua, inabidi ajaze tank lake (tumbo) ili kila kitu kiende sawa, including brain yake.
Ila sio kila chakula kina the same effect. Lakini kitu chochote ni better than nothing, maana watoto wengine wanachagua sana vyakula.
Baadhi ya vyakula vya kurutubisha ubongo:

- Peanut butter (siku hizi ziko kibao, mini market yeyote unapata)
- Mayai
- Ndizi mbivu
- Maziwa
- Mtindi
- Asali (unaweza kuipaka kwenye mkate)
Post a Comment