Davido asema Tanzania ni nchi ya pili kuichukulia kama nyumbani ndio maana alipost bendera ya Tanzania hivi karibuni.
Davido ambaye ameshinda tuzo ya msanii bora wa kiume kwenye Mtv
Afrika Music Awards amemtaja Ali Kiba kama msanii anayefata kwenye
orodha ya wasanii atakao fanya nao kazi Tanzania.
Post a Comment