VIDEOZ Hii Video mpya ya Kid Ink ‘Faster’ itazame hapa. Christian Ngoti 5:12 AM A+ A- Print Email Kama tunavyoona gari na mwendo wa kasi kwenye filamu za Fast and furious, ndicho kitu Kid Ink amefanya kwenye video yake ya “Faster” kutoka kwenye album ya Full Speed. Bonyeza play kuitazama.
Post a Comment