Ads (728x90)

Tabs

Page



davido-1-696x452
Staa wa muziki kutoka Nigeria atatoa Naira milioni 2 kwa shabiki kama sehemu ya kusheherekea dili lake la Sony la dola milioni moja.
Davido ambaye yuko mjini New York ameahidi kufanya sherehe mbili kubwa kama asante kwa mashabiki kwa dili lake la Sony Music na kuumpa naira milioni 2 shabiki wake wa ukweli.
Doin two signing parties in Nigeria when I get home … I’m giving my most loyal fan 2 MILLION NAIRA !!

Post a Comment