VIDEOZ Hii video mpya ya Puff Daddy Ft French Montana & Zoey Dollaz ‘Blow a Check’. Christian Ngoti 11:09 AM A+ A- Print Email Puff Daddy ametoa video mpya ya wimbo wa “Blow a Check (Bad Boy Remix),” kutoka kwenye album ya kundi ya mwaka jana MMM. Kwenye wimbo wapo French Montana na Zoey Dollaz.
Post a Comment