Pop staa kutoka Canada Justin Bieber amefumwa kwenye mgahawa wa
mashiga ulioko North Hollywood. Justin Beiber aliingia kwenye mgahawa wa
Club Cobra jumamosi saa tatu usiku akiwa na mlinzi wake mmoja.
Bouncer wa club hio amesema anaimani kuwa Justin Beiber hakujua ulikuwa mgahawa wa mashoga.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment